Makamu wa rais Tanzania Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi na Watanzania wote kusahau yaliyopita na kuungana ili kupeleka taifa hilo mbele. Suluhu alisema haya muda mfupi baada ya kuapishwa kama rais wa sita wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Samia sasa atahudumu kama rais wa Tanzania kwa kipindi kilichosalia.
Ещё видео!