Swala la malezi ya mtoto pindi wazazi wanapotofautiana imekuwa ni changamoto kubwa, pamoja na sheria iliyopo ya malezi ya watoto na kusimamiwa na ustawi wa jamii lakini bado kumekuwa kuna mvutano kati ya wazazi juu ya malezi ya watoto
Nini kifanyike ili kuboresha mazingira ya watoto na wazazi wao kwenye malezi?
Ещё видео!