Gloria in excelsis Deo;
Les Anges dans nos Campagne;
Mbali kule nasikia, malaika wa Mbinguni,
Wakiimba wengi pia, wimbo huo juu angani,
Gloooooooooooooooooria in excesis deo
Angels We Have Heard on High - Traditional
Wimbo wa Christmas/Noeli/ kuzaliwa kwa Mwokozi
Kipindi cha majilio/advent kimeanza, Christmas yakaribia
Tutazame wimbo tunaposubiria kuzaliwa kwa Bwana Yesu,
Wimbo wa Krismasi, Yesu amezaliwa, Amezaliwa Mwokozi,
audio na video vimeandaliwa na Martin Mutua Munywoki
umeimbwa ba Sauti Tamu Melodies
Nyimbo nyingine za majilio na noeli ni pamoja na Njoo Masiha kwetu, Utujie Masiya Wetu, Tazama Bikira atachukua mimba, Bwana anakuja twendeni kumlaki, Anakuja mwenye enzi, Malaika kaleta Noeli ya kwanza, Silent Night Ni usiku wa manane kengele zasikika, na nyingine
#SautiTamu #Zilipendwa
Ещё видео!