Magnet Youth Sports Academy ni kituo cha kitanzania kinacholea na kukuza vipaji vya watoto wa kike na kiume kisoka kuanzia umri wa miaka 4 hadi 15.
Kituo kimefanikiwa kufanya ziara za mafunzo kwa mialiko waliyopata nchini Spain -Celta Vigo na hapo awali nchini Sweden na Norway .
Kwa mawasiliano zaidi kufahamu program wanazotoa usisite kuwasiliana nao kupitia mitandao yao ya kijamii ;Facebook na Instagram (magnet tanzania) au kwa number +255 (687) 553 044 / +255 (764) 795 597/ +255 (712) 094 249 / +255 (682) 449 675.
Imetayarishwa na Erasmus Kamugisha
Akisaidiana na Collins
Ещё видео!