Kwaya ya Mt. Sesilia Mavurunza - Jimbo kuu la Dar es Salaam wanatualika kutazama na kusikiliza wimbo wenye ujumbe unaotukumbusha KUOMBEANA daima katika safari yetu hapa duniani tukielekea kwa Muumba wetu. Kwa hiyo tunahimiza kupendana na kuombeana daima kama kanisa la wasafiri hapa duniani huku tukimtazama Kristo ambaye ni njia na ukweli na uzima ili tusije potea njia.
Ещё видео!