Kaunti ya Mombasa ni baadhi ya zile zinazoongoza kwa idadi ya mimba za mapema. Sababu nyingi zimetolewa ikiwemo viwango vya juu vya umaskini. Utawapata wasichana wengi chini ya umri wa miaka 16 barabarani wakitafuta kushiriki ngono ili kujipatia riziki. Lakini kama inavyoibuka wengi wanahofia zaidi kupachikwa mimba wala sio kuambukizwa maradhi.
Ещё видео!