Hizi ni siri 15 za kuanzisha biashara ya sembe yenye kupata faida
Je, uko tayari kufanya biashara ya sembe ambayo yenye faida na endelevu?
Video hii inaeleza siri 15 za kuanzisha biashara ya sembe yenye kupata faida.
Video ina eleza jinsi ya kutambua fursa za kuanzisha biashara, kuchagua wateja, kuchagua sehemu ya kufanya biashara ya sembe, upatikanaji wa mtaji wa biashara na kadhalika
Haijalishi kama wewe ni mjasiriamali mzoefu au ndiyo una anza kufanya biashara, maelekezo ya video hii yatakusaidia kufanikiwa kuanzisha biashara ya sembe yenye mafanikio.
Usikose hii fursa ya kugeuza ndoto yako kuwa kitu cha kweli
Angalia hii video na uanze safari yako ya kumiliki biashara ya sembe yenye mafanikio
#biasharayasembe #ujasiriamali #fursaza biashara #dondooza biashara
Kama hii video imekusaidia, weka coment yako, share hii video na subscribe ili upate tips za kuanzisha biashara ya sembe yenye mafanikio
Ещё видео!