WAZIRI Mavunde Awapa Siri Vijana ya Kujiajiri
Naibu Waziri, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Anthony Mavunde leo akizungumza katika jukwaa la vijana amewashauri kusimama imara katika kuhakikisha wanajikwamua na kutafuta fursa mbalimbali za kuleta maendeleo huku akisema serikali ipo sambamba katika kuhakikisha vijana wanalijenga taifa katika nyanja mbalimbali za kiuchumi.
Tazama pia [ Ссылка ]
.
Watch More Videos here: [ Ссылка ] Watch More Videos here: [ Ссылка ] Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter:
www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: [ Ссылка ] Install Global App: iOS: [ Ссылка ]
Ещё видео!