Ikiwa Leo ni Disemba 15 mwaka 2020 moja kati ya taarifa tulizozipata na zilioenea mitandao ni juu ya kifo cha Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya Motisun Group, Bilionea wa Kitanzania, Subhash Patel.
Patel anatajwa kumiliki Hotel ya Whitesands jijini DSM, Kampuni ya Sayona Twist, kampuni za Matanki ya Kuhifadhia Maji, Simtank.
Ещё видео!