#ufunuostudio #HistoriayaWasabato #matengenezo Kumbe Ellen White alikuwa #, IMANI YAKE YAELEZWA: “Nilithibitishiwa kuhusu yote niliyo kuwa nimeyasema katika mineapolis, kuwa yapasa matengenezo yafanyike katika kanisa, Matengenezo yapasa kufanywa kwa maana … tulitumaini kuwa pasingekuwepo umuhimu wa kutengana kwa mara nyingine, Wakati tunapojitahidi kuhifadhi umoja wa roho katika kifungo cha Amani hatutakoma kutoa upinzani kwa kutumia kalamu au sauti zetu dhidi ya watu wanao ng’ang’ania imani za kule waliko toka.” Matukio ya Siku Za Mwisho. Sura ya 4. (2012), uk. 32.
Je, mtu anaye jifurahisha katika ibada ya kuuabudu upapa, atategemea wokovu?
Akijibu swali hili Mwana Matengenezo wa Karne ya 16th, na mwanzilishi wa ULUTHERI--Martin Luther, anasema kuwa:
“Kama hutopinga kwa moyo wako wote dhidi ya mamlaka kufuru ya upapa, huwezi kuokolewa, ye yote anaye jifurahisha katika dini ya kuabudu Upapa atapotea milele hatapata nafasi katika ulimwengu ujao.
[Lakini] kama uta upinga upapa lazima utegemee kuingia [katika] kila aina ya hatari, hata kupoteza maisha yako, lakini ni bora zaidi kukabili hatari hii kubwa katika ulimwengu huu kuliko kukaa kimya. Kwakuwa ninaishi nitatangaza kwa ndugu zangu kusudi la kufuta mapatano, jeraha na mapigo ya babeli kwa kuogopa kwamba wengi waliopamoja nasi watarudi nyuma tena sawa na walio salia katika shimo la kuzimu”. History of The Reformation of 16th Century Vol. 15, pp 208. #ufunuostudio #matengenezo
Ещё видео!