Kamwe usikate tamaa katika maisha yako ndio somo ninalokuletea leo baada ya kuona watu wengi sana wanakata tamaa maishani na mambo ambayo wao wenyewe waliyaanzisha na sasa wanataka kuyaacha kwasababu tu wamekutana na matatizo yanayowapelekea wao kuona hakuna njia nyingine ya ya kutafuta utatuzi isipokua kuachana kabisa na mambo hayo.
Kufeli sio kinyume cha kufanikiwa lakini kufeli ni hitaji muhimu sana la kufanikiwa. Wote wenye mafanikio wanakiri jambo hili kwamba bila kupitia matatizo fulani katika maisha yao huenda wasingekuwa hapo walipo leo.
Napenda kutoa wito na hamasa kwa wanaojisikia kukata tamaa katika mambo yao, tafadhali jitahidi sana uendelee na somo hili linatoa njia muhimu 6 za kujua ni namna gani unaweza jiokoa toka kwenye jamba hili ya kukata tamaa. Kumbuka usikate tamaa
.
Usiache ku SUBSCRIBE na kuniachia mawazo yako kwenye COMMENTS, LIKE na SHARE PIA kwa wengine.
.
NIFUATE MITANDAONI
INSTAGRAM: [ Ссылка ]
TWITTER: [ Ссылка ]
FACEBOOK: [ Ссылка ]
LINKEDIN: [ Ссылка ]
.
For Business please send me an email
ezdenjumanne@gmail.com
Or leave a text/ Whatsapp : (+255)759191076
#Usikate #Tamaa #SPN
Ещё видео!