#BREAKING: AJALI Mbaya UBUNGO, Basi la Wanafunzi LAANGUKA, Mashuhuda WASIMULIA!
Gari ya kubebea wanafunzi lililokuwa likitokea Kongowe kuelekea Kibiti, limepata ajali maeneo ya Ubungo Maji jijini Dar, leo Juni 23, majira ya asubuhi....
Kwa taarifa za awali zinadai kuwa ajali hiyo imesababishwa na dereva wa gari hiyo kuparamia kingo za barabara na kupelekea gari kuanguka...
Baadhi ya wanafunzi waliokuwepo ndani ya gari hiyo wamepata majeraha na wamekimbizwa hospitali kwa ajili ya matibabu, ambpo dereva wa gari anashikiliwa na jeshi la polisi kwa ajili ya uchunguzi zaidi.
#AJALI
FACEBOOK: [ Ссылка ]... TWITTER: [ Ссылка ] Visit [ Ссылка ], Subscribe [ Ссылка ] Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… [ Ссылка ] [ Ссылка ] /c/uwazi1 [ Ссылка ]
/c/uwazi1 WEBSITE: [ Ссылка ] FACEBOOK: [ Ссылка ]... TWITTER: [ Ссылка ] INSTAGRAM: [ Ссылка ]...
Ещё видео!