Kenya imepata pigo kubwa baada ya kushindwa katika kinyang’anyiro cha kuwa mwenyekiti wa tume ya Umoja wa Afrika baada ya mwakilishi wa Chad Moussa Faki Mahamat kumshinda mgombea wa kenya Balozi Amina Mohamed. Amina Mohamed alipoteza katika raundi ya sita.
SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: [ Ссылка ]
Follow us on Twitter: [ Ссылка ]
Like us on Facebook: [ Ссылка ]
For more great content go to [ Ссылка ] and download our apps:
[ Ссылка ]
KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.
Ещё видео!