Ukosefu wa mvua kwa muda mrefu kaunti ya Kajiado umeendelea kusababisha uhaba mkubwa wa maji katika maeneo mbali mbali ya kaunti hii. Wakaazi wa eneo hili sasa wakilazimika kutembea mwendo mrefu Ili kupata bidhaa hiyo. Robert Masai anaarifu kuhusu uhaba huu ambao sasa umesababisha wakaazi kutegemea maji ya kisima ambayo hayatoshi
Ещё видео!