#Harmorapa aka #KibokoYaMabishoo, usiku wa #Pasaka alikinukisha kinomanoma ndani ya #DarLive huku shoo yake ikiacha historia ya kipekee, akisindikizwa na wakali kibao, akiwemo #JumaNature, #MsagaSumu, #DulaMakabila, #Chemical, #Darada na wengine kibao, palinogaje.
#[ Ссылка ]
Mpango mzima ulianza kwa wasanii kibao kufanya yao kwa #Stage ya #UwanjaWaTaifaWaBurudani, #DarLive, #MbagalaZakhiem, yote tisa, kumi ikajawadia zamu ya #Harmorapa ambaye alithibitisha kweli yeye ni #KibokoYaMabishoo.
Visit [ Ссылка ]
#Global TV #Online kwa kushirikiana na #TBC, inakuletea riporti ya maeneo mbalimbali jinsi sherehe ya #pasaka ilivyoadhimishwa.
Visit [ Ссылка ]
Ili usipitwe, unachotakiwa kufanya, ni kusubscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…
[ Ссылка ]
[ Ссылка ]
[ Ссылка ]
Ещё видео!