Tunaalikwa Waamini wote tusome Neno la Mungu ambalo ndio njia ya kweli na Uzima wetu.
Wimbo huu ni Miongoni mwa Nyimbo zao 10 zilizo kwenye Album Yao. Tulisome neno pia tuliishi hapo ndipo tutakuwa karibu Na Mungu.
WAIMBAJI:
KWAYA KUU YA MT. CESILIA
WIMBO:
ZAMANI ZA MABABU
MTUNZI:
F. THOY
KINANDA:
J. KAGOMA
STUDIOS:
THOY MEDIA
Mawasiliano
0756039530 au 0783136576
Mawasiliano ya kwaya
0764335867
Ещё видео!