Wapenzi watazamaji wa @NkomokomoMedia Kwa kutazama video hii tuguswe kwa namna ya pekee kuvikuza na kuvitunza vipaji vya Watoto wetu ili Taifa la kesho liwe la kusifu...kuabudu na kumtukuza Mungu.
Watoto Hawa wanapatikana Parokia ya Mt. Augostino Ukonga na tayari wamesharekodi nyimbo mbalimbali audio na video karibu Sana kukuza utume wa Uimbaji wa Watoto hao.
Ещё видео!