Manunuzi yanaendelea kuwa injini kubwa ya ukuaji wa uchumi wa China, na yalichukua zaidi ya asilimia 65 ya ukuaji wa uchumi wa nchi hiyo kwa mwaka jana. Soko la manunuzi nchini China linashuhudia maingiliano ya maduka ya ndani na nje ya mtandao, ambayo yanashawishi mawazo ya manunuzi duniani.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: [ Ссылка ]
Follow us on Twitter: [ Ссылка ]
Find us on Facebook: [ Ссылка ]
Check our website: [ Ссылка ]
#KBCchannel1 #KenyaElection2022 #News #IfahamuChina #WorldCupIkoKBC
Ещё видео!