Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 11 Januari, 2019 anawaongoza Watanzania kupokea ndege nyingine ya pili Aina ya Airbus A220-300 (Ngorongoro) ya Kwanza Afrika baada ile ya awali kuwasili Desemba 23,2018 ikiwa ni katika Jitihada za kuakikisha Tunafufua Shirika letu la Ndege la Tanzania (ATCL) Pamoja na kukahikikisha tunakuza Uchumi wetu.
Ещё видео!