Sehemu kubwa ya uchumi wa Gambia unategemea chaza au oysters.
Tasnia hii inatawaliwa kabisa na wanawake ambao, kando na kuvua chaza, pia wanahusika katika juhudi za uhifadhi.
Lakini mabadiliko ya hali ya hewa yamekuwa yakiathiri mazao na maisha ya wanawake hawa yameathirika.
#bbcswahili #mazingira #ujasiriamali
Ещё видео!