Karibuni kutazama wimbo huu uitwao " Ninajua neno moja" utunzi wake Ndg. Anophrine Shirima ulioimbwa nao kikundi cha "The Harmonies_Tz".
Maneno haya yanapatikana katika Injili ya Mt. Yohane katika simulizi la Mwanaume aliyezaliwa kibofu na baadae kuponywa na Bwana wetu Yesu Kristo.
Simulizi hili linapatikana Injili ya Yohane 9:1-38;
Je, wewe leo ungependa Yesu akuponye na upofu upi?
"Atukuzwe Mungu Milele"
Ещё видео!