Waziri mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa amesema vyombo ya ulinzi na usalama ikiwemo majeshi yote yapo imara kuhakikisha amani ya nchi haichezewi na mtu wala kikundi fulani cha watu.
Amesema hayo Sepemba 19 mjini Kibaha na Chalinze mkoani Pwani wakati akizungumza na viongozi wa serikali na vyama vya siasa ngazi ya wilaya na mkoa pamoja na wafanyakazi wa kiwanda cha sabuni iitwayo KEDS washing powder factory kilichopo kibaha na kiwanda cha vigae cha TWYFORD kilichopo kijiji cha Pingo Chalinze wakati wa ziara yake ya kutembelea viwanda.
Ещё видео!