Mgombea mteule wa jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Askofu Josephat Gwajima amesema maamuzi mazuri ya wajumbe wa Kawe ndio yaliyomfikisha hapo.
Agosti 20 Halmashauri Kuu ya CCM ilitangaza orodha ya wagombea ubunge 264 ambapo zoezi la uchukuaji fomu linaendelea katika maeneo mbalimbali kabla ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kufanya uteuzi Agosti 25.
Gwajima ameyasema hayo leo baada ya kuabidhiwa fomu na Msimamizi msaidizi wa uchaguzi jimbo la Kawe Halima Kahema.
Ещё видео!