Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa Gilbert Kalima, amesema Jumuiya hiyo imejipanga kuboresha shule zao na pamoja na kuboresha maslahi ya walimu na mazingira ya kazi zao.
Kalima ameyasema hayo kwenye Mkutano na waandishi wa habari uliofanyika katika ukumbi wa CCM Mkoa Mbeya.
#mastervoicetv
kama unahabari yeyote wasiliana nasi kupitia simu namba 0679393139 au email: mastervoicetv@gmail.com
Ещё видео!