Mpendwa Mtazamaji Karibu tuungane pamoja katika adhimisho la Misa Takatifu ya kusimikwa na kuwekwa wakfu Askofu mteule wa Jimbo Katoliki Mafinga Mhashamu Vicent Mwagala.
MISA Takatifu inafanyika kwenye viwanja vya Kanisa la Kiaskofu hapa Mafinga Mjini.
#Subscribe#Like#Share#Comment#
MUPHILIP MEDIA-INJILI KWA WOTE
Ещё видео!