Karibuni kutazama wimbo huu No.5 katika albam yetu Toleo la 3, uitwao NIIMBE VIPI?.
Ni wimbo uliotoa jina la albam hii kwa heshima ya Hayati Mwl. Ibrahim Nturama aliyeshirikiana na nduguye Mwl. Ben Nturama katika kuutunga katika siku zake za mwisho. Kwaajili hiyo, tuzidi kumuombea apate pumziko la milele mbinguni, Amina.
Wimbo: Niimbe vipi?
Watunzi: Ibra & Ben Nturama
Production Company: KHAKI MEDIA PRO
Audio Engineer: MASHAMBA Mbj
Video Director: XD
Ass. Director: Nacco Anselm
Editor: Nacco Anselm
Final Editor/Colorist: Renny D
Kwa mahitaji ya Nakala ya Albam hii, wasiliana nasi; +255752 623 309 au +255746 609 722
Ещё видео!