Naibu Rais Rigathi Gachagua amemkosoa Rais mstaafu Uhuru Kenyatta ambaye hapo jana aliwashauri viongozi kuacha kushikia yaliyopita ili kuweza kuangazia masuala yanayowakumba wananchi na kuendeleza taifa mbele. Gachagua amesema kuwa ni muhimu kuangalia yaliyosababisha taifa kujipata kati hali ya sasa ili kutotumbukia kwenye mtego huo na kuweka mikakati itakayoleta manufaa kwa Wakenya.
Ещё видео!