Afisi ya kamishna wa data sasa imesema kuwa hatua ya kukusanya taarifa za kibinafsi za wakenya kupitia mpango wa worlcoin ulikuwa ukiukaji wa taratibu za kulinda taarifa hizo. Hayo yamefichuliwa kwenye maelezo ya kamishna wa data yaliyowasilishwa mahakamani. Pia imedhihirika kuwa shirika la Worldcoin linajaribu kuhujumu uchunguzi unaoendelea.
Ещё видео!