Yanga SC imefanya mauaji kwa kuichakaza CBE SA ya Ethiopia kichapo cha mabao 6-0 katika mchezo wa mkondo wa pili, Ligi ya Mabingwa Afrika #CAFCL
Magoli ya Yanga yamefungwa na Clatous Chama dakika ya 35, Clement Mzize dakika ya 46, Stephane Aziz Ki akifunga mawili dakika ya 74 na 90+3, Mudathir Yahya dakika ya 88 na Duke Abuya dakika ya 90.
Ещё видео!