Rais wa Tanzania Health Summit Dokta Omary Chillo amesema sekta ya viwanda vya kuzalisha dawa imekuwa ikisuasua tangu ukuaji wa viwanda vya afya kuanza, lakini mpaka sasa uzalishaji wa viwanda haukidhi mahitaji ya nchi, hivyo ni wakati sasa wa wadau wa afya kujadili kwa kina suala hilo kwa manufaa ya huduma wanazotoa na taifa kwa ujumla.
Ещё видео!