Bunge la seneti limeidhinisha marekebisho ya mwaka 2022 ya tume ya IEBC jinsi yalivyopitishwa na bunge la kitaifa. Mswada huo ambao unatoa fursa ya kubuniwa kwa jopo la uteuzi la kuteua makamishna wa tume ya IEBC ulisababisha migawanyiko katika bunge la seneti huku maseneta wa muungano tawala wa Kenya Kwanza wakikatalia mbali mapendekezo ya wale wa muungano wa Azimio la Umoja wa One Kenya.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: [ Ссылка ]
Follow us on Twitter: [ Ссылка ]
Find us on Facebook: [ Ссылка ]
Check our website: [ Ссылка ]
#KBCchannel1 #iebc #News #seneti
Ещё видео!