Na Anitha Chali,Morogoro
Wananchi wa vijiji vilivyopo kata ya Madoto Wilayani Kilosa Mkoani Morogoro wameiomba serikali kutenga maeneo kwa ajili ya wafugaji ili kuondokana na changamoto ya mwingiliano wa maeneo ya malisho na kilimo, migogoro ya mipaka ya vijiji pamoja na kulishwa kwa mazao ya wakulima na kupelekea hali ya uhatarishi baina ya wafugaji na wakulima.
Wakizungumaza katika mkutano wa hadhara wananchi hao wamesema wafugaji jamii ya kimasai wamekuwa wakiingiza mifugo kwenye mashamba ya wakulima na kulisha mazao nyakati za usiku ambapo hali hii inatajwa kuwa ni changamoto kubwa.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: [ Ссылка ]...
HabariLeo: [ Ссылка ]
DailyNews: [ Ссылка ]
INSTAGRAM;
HabariLeo: [ Ссылка ]...
SpotiLeo: [ Ссылка ]...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: [ Ссылка ]
Ещё видео!