Waziri wa ujenzi na uchukuzi Profesa Makame Mbarawa ametoa miezi minne kwa mkandarasi wa barabara ya Tanga Pangani kuhakikisha anajenga kwa kiwango chenye ubora na kuikamilisha kwa wakati.
Maagizo hayo ameyatoa leo wakati wa ziara yake ya kukagua mradi wa ujenzi wa barabara ya Tanga Pangani pamoja na Muheza hadi Amani kwa kiwango cha lami.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: [ Ссылка ]...
HabariLeo: [ Ссылка ]
DailyNews: [ Ссылка ]
INSTAGRAM;
HabariLeo: [ Ссылка ]...
SpotiLeo: [ Ссылка ]...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: [ Ссылка ]
Ещё видео!