Wimbo Mizani ya maisha unatufunza ya kwamba Kila kiumbe Mungu alichokiumba Ni Muhimu katika maisha .
Uwe Maskini au tajiri, wa Kwanza au wa mwisho, mlemavu,mgonjwa au mzima sote twategemeana na tuko sawa mbele ya Mwenyezi Mungu.
Hubiri kwa Mwenzio
Song... Mizani ya maisha
singers... Sam Magima Family and Friends
Contact number....0758382456
composer..F.M.Shimanyi
Audio and video.. Khaks studio
Ещё видео!