Rais William Ruto ameshuka kwa mara ya pili, na kulivunja baraza lake la mawaziri. Waziri mwandamizi Musalia Mudavadi ndiye pekee aliyesazwa. Hatua hii inajiri baada ya majuma ya maandamano na shinikizo la vijana lililosababisha vifo na uharibifu wa mali.
Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya
Ещё видео!