Aliyewahi kuwa Spika wa bunge la Tanzania Pius Msekwa anasema kwamba katika kipindi cha mwaka mmoja wa uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan ameoinesha nia katika demokrasia ya kiuchumi baina ya Tanzania na nchi nyingine hali iliyosaidia kuimarisha biashara na demokrasia na nchi nyingine.
Mwandishi wa BBC amefanya mazungumzo na Pius Msekwa na kutuandalia taarifa hii
🎥e @eagansalla_gifted_sounds_
#bbcswahili #tanzania #piusmsekwa #bungelatanzania #samiasuluhuhassan🇹🇿
Ещё видео!