HAPO ZAMANI 🎬
Yohana 12:13-15
13 Basi wakachukua matawi ya mitende wakatoka kwenda kumpokea, huku wakiimba, “Hosana! Amebarikiwa anayekuja kwa jina la Bwana! Mungu ambar iki Mfalme wa Israeli!” 14 Yesu akampata mwanapunda akampanda, kama ilivyoandikwa katika Maandiko, 15 “Usiogope, wewe mwenyeji wa Sioni. Tazama, mfalme wako anakuja, amepanda mwanapunda!”
Karibu kusikiliza wimbo wa YULE YESU. Wimbo huu ni mmoja kati ya nyimbo zilizomo kwenye Album ya NYUMBA YA ROHO iliyoimbwa na KMK MAKUBURI mwaka 2007
WIMBO: YULE YESU
WAIMBAJI: KMK MAKUBURI
MTUNZI: A. OSSONGA
ORGANIST: FRIDOLINUS B. MUSHOBOZI
#Toba
#Kwaresma2024
#kmkmakuburi
Ещё видео!