Kutana na shushastress mchekeshaji kutoka nchini Tanzania anayefanya ucheshi unaotumia vikaragosi kufikisha ujumbe katika jamii akilenga kuwafikia zaidi watoto wa mitaani.
Licha ya wanajamii kutoielewa sanaa yake, hana budi kuipenda kazi yake kwani inamuingizia kipato na kuwafanya watoto wafurahi.
Mwandishi wa BBC @frankmavura amekutana na kijana huyu jijini Mwanza na kutuandalia taarifa ifuatayo.
#bbcswahili #tanzania #sanaa
Ещё видео!