Waziri wa Maji Prof MAKAME MBARAWA ameagiza kukamatwa na kurejeshwa wilayani MALINYI Waziri wa Maji Prof MAKAME MBARAWA ameagiza kukamatwa na kurejeshwa wilayani MALINYI mkandarasi wa kampuni ya AUDACIA Investment na Mhandisi Mshauri wa mradi wa maji wa MALINYI baada ya kushindwa kukamilisha mradi huo kwa wakati.
Waziri MBARAWA ametoa agizo hilo, baada ya kupokea taarifa kutoka kwa mhandisi wa maji wa halmashuri ya wilaya ya MALINYI MOHAMED RULIMO ilyobainisha changamoto mbalimbali ikiwemo ya kukosea kwa usanifu licha ya mkandarasi kulipwa kiasi cha zaidi ya shilingi bilioni 2.8 kati ya bilioni 3 .0 zilizotolewa na serikali.
Investment na Mhandisi Mshauri wa mradi wa maji wa MALINYI baada ya kushindwa kukamilisha mradi huo kwa wakati.

Ещё видео!