Miaka 70 iliyopita, San Francisco lilikuwa eneo palipozaliwa mabadiliko ya dunia ambapo mataifa 50 yalikutana kwenye eneo la Bay na kurasimu na hatimaye kutia saini katiba ya Umoja wa Mataifa. Waliazimia kushirikiana kufanikisha amani ya dunia, ustawi na haki za binadamu.
Ijumaa ya tarehe 26 Juni mwaka 2015, Umoja wa Mataifa, jamii ya wanadiplomasia na jiji la San Francisco, bila kusahau viongozi wa kibiashara na wengine wengi wanakutana kuadhimisha miaka 70 ya Umoja wa Mataifa.
#action2015 #UN70
Tovuti ya maadhimisho: [ Ссылка ]
2015 ni mwaka amba viongozi wa dunia wataamua mustakhbali wa dunia kumaliza umaskini uliokithiri na kushughulikia mabadiliko ya tabianchi.
2015 wakati wa kuchukua hatua: [ Ссылка ].
Ещё видео!