SUPRISE TENA! RAIS SAMIA AFIKA NYUMBANI KWA MAMA NYERERE NA MAMA ANNA MKAPA..
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Leo Desemba 05, amemtembelea na kumjulia hali Mama Maria Nyerere nyumbani kwake Msasani Jijini Dar es Salaam…
Aidha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemtembelea pia na kuzungumza na Mama Anna Mkapa, nyumbani kwake Masaki Jijini Dar es salaam…
Rais Samia amewatembelea wajane hao mara baada ya kufungua rasmi Awamu ya Pili ya upanuzi wa Barabara ya New Bagamoyo (Moroco – Mwenge) Jijini Dar es Salaam yenye urefu wa kilomita 4.3….
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: [ Ссылка ]
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:[ Ссылка ]
⚫️ iOS:[ Ссылка ]
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: [ Ссылка ]
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: [ Ссылка ]
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: [ Ссылка ]
⚫️ GLOBAL RADIO TV: [ Ссылка ]
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: [ Ссылка ]
⚫️ Subscribe Global TV [ Ссылка ]
Ещё видео!