Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Africa (SADC) Dk John Pombe Magufuli leo Oktoba 17, 2020 anakabidhi uenyekiti wa SADC kwa rais wa Msumbiji Filipe Nyisi katika mkutano wa 40 wa Jumuiya hiyo, ukatakofanyika kwa njia ya video.
Hivi ndivyo viongozi wa dini walivyoshiriki mkutano wa viongozi kuelekea uchaguzi mkuu kuunga mkono juhudi za Rais Dk John Pombe Magufuli na Serika katika mi ustawi wa amani uzalendo na kumtanguliza Mungu
Ещё видео!