Vyama vya upinzani vilivyoshiriki uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la Dimani wadai haukua huru na haki - Смотреть видео или скачать видео в MP4, музыку MP3 на телефон или компьютер
Pamoja na uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la Dimani kisiwani Zanzibar kufanyika katika hali ya utulivu na amani , vyama vya upinzani vinavyoshiriki uchaguzi huo vimepinga uchaguzi huo kwa madai hauko huru na haki na una ukiukwaji wa sheria na katiba.