Uharibifu na mauti ni roho zinazofanya kazi kwa pamoja,lakini pia ni roho ambazo zinafanya kazi kwa siri sana.Siku zote matokeo huwa yanaonekana mwishoni.Ni roho ambazo zinakuchunguza unapenda nini,na kupitia unachokipenda hupitisha uharibifu na kisha mauti.
Kabla ya mauti huwa unatangulia kwanza uharibifu,vitu vyako vinaanza kuharibika..kwa mfano mahusiano yanaanza kuingia dosari,ugomvi usioisha n.k.Na hizo ni dalili za awali kuwa mauti iko njiani inakuja.Ni vizuri kuwa makini na dalili zote za mauti(uharibifu) ili kuweza kutoka kwenye mtego huo kabla mauti haijafika.
Pastor Sunbella Kyando ameelezea kwa undani sana juu ya hizi roho,na utakaposikiliza ufahamu wako utaongezeka kwa ukubwa.
UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322
Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
Like our Facebook: [ Ссылка ]...
Follow our Instagram: [ Ссылка ]...
Subscribe our YouTube: [ Ссылка ]...
Ещё видео!