Zimesalia siku 24 kufunguliwa kwa Mlango Mtakatifu wa Basilika ya Mtakatifu Petro, Vatican, unaoashiria mwanzo wa Mwaka Mtakatifu wa 2025,
wakati wa uwongofu na neema ya kufufua matumaini katika hija ya maisha ya kila siku na kutangaza Injili.
Fuatilia Habari za Vatican na Radio Vatican katika ufunguzi wa Mlango Mtakatifu tarehe 24 Desemba saa 1.00 kamili za jioni(masaa ya Roma)
na katika matukio yote ya mwaka Mtakatifu 2025 kupitia chaneli zetu za Youtube au Facebook,mbashara.
Ещё видео!