Ruwasa ni wakala ya Usambazaji Maji na Usafi na Mazingira Vijijini iliyoanzishwa kwa Sheria Na. 5 ya Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira ya mwaka 2019. Meneja wa Ruwasa Mkoa wa Kilimanjaro Mhandisi Weransari Munis anasema imekuwa ikifanya jitihada za kila namna katika utoaji wa huduma ya maji ili kutatua changamoto hiyo.
Ещё видео!