#ikuluzanzibar #ccm #samiasuluhuhassan #habarimaelezo #ktnnews #wizarayahabari #wizarayakilimo #wizarayaafya #wizarayaulinzi
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewasihi viongozi wa madhehebu ya mbalimbali ya dini nchini waendelee kushirikiana na Serikali katika kupiga vita biashara na matumizi ya dawa za kulevya.
Majaliwa ameyasema hayo leo alipomuwakilisha Mheshimiwa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan katika Baraza la Maulid lililofanyika Kitaifa jijini Dodoma kwenye kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: [ Ссылка ]...
HabariLeo: [ Ссылка ]
DailyNews: [ Ссылка ]
INSTAGRAM;
HabariLeo: [ Ссылка ]...
SpotiLeo: [ Ссылка ]...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: [ Ссылка ]
WAZIRI MKUU ATOA MAAGIZO HAYA KWA VIONGOZI WA DINI
Теги
ccmayo tvmillard ayoayotvmtanzaniadigitalmwananchidigitalharmonizetundulisuwasafi tvsimba tvazam tvhellen showstbc onlinehaji manarayanga scmanchester unitedliverpoolzuchuclouds tvkassim majaliwawaziri mkuuikulu mawasilianoflaviana matataMaalim SeifCoronaJPMDK Magufulispika NdugaiMama SamiaTulia AksonBungeni DodomaDiamond PlatnumzHarmonizeKTNTundulisuZitto KabweAli KibaZuchuCCMChadema