Serikali ya kenya siku za karibuni imezuia uingizwaji wa mahindi nchini humo kutoka nchi za Afrika Mashariki huku Tanzania na Uganda zikionekana kuathiriwa na hatua hiyo.
Je, suala hili ni jambo la kidiplomasia zaidi na sio suala la usalama wa chakula?
Faraja Sendegeya na wataalamu wa chakula na diplomasia wanaliatazama hilo kwa kina ndani ya MIZANI YA WIKI.
Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
►INSTAGRAM: [ Ссылка ]
►INSTAGRAM: [ Ссылка ]
►TWITTER: [ Ссылка ]
►FACEBOOK: [ Ссылка ]
►WEBSITE: [ Ссылка ]
Ещё видео!