Katibu mkuu CCM, Dkt. Bashiru Ally asema kuna kila dalili CCM kuanza kuwa na mvuto tena baada ya kupita bila kupingwa kata 41. Kwa taarifa hizi na nyingine nyingi ungana na AZAM APP ifikapo sa 2:00 usiku.
Tazama kile kilichojiri katika mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Bashiru Ally uliofanyika leo katika ofisi ndogo za chama hicho jijini Dar es Salaam.
Ещё видео!