MO DEWJ NA GSM WAONYWA/KATIBU MKUU MSIGWA AFUNGUKA FURSA ZA AFCON,
*MKAKATI MAALUM KUFANIKISHA AFCON 2027 WASUKWA, KATIBU MKUU GERSON MSIGWA AKUTANA NA KAMATI, FURSA KIBAO ZAAINISHWA.*
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Gerson Msigwa amesema kuwa kuelekea mashindano ya AFCON 2027, Tanzania iko katika maandalizi ya Mkakati maalum utakaotekelezwa ili kufanikisha mashindano hayo makubwa Barani Afrika pamoja na kuainisha majukumu mbalimbali yatakayotekelezwa na Serikali na wadau wa Sekta Binafsi ili Tanzania inufaike kikamilifu na fursa zitakazotokana uenyeji wa mashindano hayo.
Ещё видео!